Posts

UJASILIAMALI MDOGO NACHINGWEA.

KIKUNDI CHA WANAWAKE WAJANE NA WANAWAKE WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI UTANGULIZI Katika kuguswa na jamii pamoja na maisha ya kila siku ya wanawake wajane ndio kulikopelekea kikundi cha NISHIKE MKONO kuanzishwa kikiwa na lengo kuu la kuwafanya wanawake wajane wajikwamue kiuchumi na kuwafanya wasiteteleke hasa baada ya kuondokewa na wenzi wao ambao kwa kiasi kikubwa ndio walikuwa tegemeo katika maisha yao ya kila siku. Hii ni kutokana na wanawake wengi kuwa mama wa nyumbani wakati waume zao wakiwa ndio nguzo ya familia kwa mahitaji yote muhimu kama vile kusomesha watoto, chakula na mambo yote ya kifamilia. NAMBA JINA LA MWANACHAMA CHEO 1 HAMISI KAMBONA MWENYEKITI/MWEZESHAJI UJASILIA MALI 2 MWAJUMA ALLY DADY KATIBU 3 ANIFA MPILI MWEKA HAZINA 4 ZAINABU ABASI MWANACHAMA 5 ELIZABERTH STAMBULI MWANACHAMA 6 MARISELA JACKSON PETER MWANACHAMA 7 S