Posts

Showing posts from January, 2014

CHEKA UNENEPE WEWE SIO UNABOREKA TU!!!

Image
Five friends lived in a room and their names were MAD,BRAIN,FOOL,SOMEBODY AND NO BODY One day Somebody killed Nobody .At that time  Brain wa in the bathroom, Mad called police station to report the incident Mad: Is this police station? Police: Yes Mad: Somebody killed Nobody Police: What? are you mad? MAD; Yes i m Mad. Police: Do you have Brain at all? Mad: Brain is in the bathroom Police: You Fool (Kwa hasira) No fool is busy reading this SMS!

NDOTO ZANGU

Nionavyo mimi ndoto ni kama malengo ya mtu ambayo yanaweza kuwa yasiyofikika katika hali ya kawaida na kibinadamu zaidi. Mara nyingi mtu huota ndoto wakati ambao hajielewi ama usingizi mzito ama uchovu uliopitiliza. Inawezekana kuwa ni usingizi wenye mang'amung'amu na hisia nyingi za woga au furaha iliyozidi mpaka. Ni kawaida kabisa mtu kutamka kwamba katimiza ndoto zake, lakini ndani ya kauli hii nimegundua mapungufu mengi sana ambayo hayasemeki. Ni kwamba ndoto ambazo mtu hufurahia kuzitimiza ni zile nzuri tu na ambazo zina mafanikio kwake kwa mfano: 1. Kufanikiwa kimaisha- inawezekana kupanda daraja kazini au kuongezeka kwa kipato 2. Maendeleo mengine yoyote ikiambatana na kuongezeka kwa upeo, upendo na amani ndani ya mwanadamu! SWALI HAPA NI KWAMBA 1. Hakuna anayetimiza ndoto za ulevi? 2. Ndoto za kuachana katika mahusiano? 3. Ndoto za kubakwa? 4. Ndoto za kufungwa? Nahisi hakuna anyetimiza ndoto zake mbaya japokuwa huwa zinatimia ila utimizaji wa ndoto za aina h