Posts

Showing posts from August, 2013
Image
Anaitwa latifa, ni model wa wiki. Kwa mujibu wa mwenyewe anadai yuko kidato cha pili lakini kwa mujibu wa baba yake anasema hata vidudu bado. Je enzi hizo wewe ulikuwaje? yangu nitaitupia kesho!!!!!!

MTOKO WA IDD

Image
Kijana wangu wa mambo ya burudani alikuwa ndani ya dar live mbagala ya pale london!!! Daaaaa jamaaa alikuwa very fan!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

HANDSOME WA SIKU!!!!

Image
Si mwingine tena ni father chodo aka baba angel aka shemeji yake mama latifa!!!! Akiwa katika pozi special kabisa la kupiga kitabu!!

PICTURE OF THE DAY!!!!!!

Image
Try to check the picture of the day as well as the special of the day!!!! Enzi za ujana wangu jamani kabla ya wengi wenu kuzaliwa!!!!

USIKOSE HEKIMA KIBAO ZA MAISHA

Image
Katika muendelezo wa maisha ya kitaa, usikose hekima kibao za maisha na kitaa kwa ujumla Mtaenjoy sana na Professori wenu w a kitaa!!!!! Anza na mapozi mbalimbali ya kitaaaa! Unaweza ukatupia picha yako tuirushe kama hiyo hapo uuze sura kwa fans wengi Duniani!! Email ni    hemmycampbell@yahoo.co.uk