Posts

Showing posts from 2014

DO YOU KNOW WHO IS KAWAWA?

RASHIDI MFAUME KAWAWA CV 1st Prime Minister of Tanzania In office 2 March 1972 – 13 February 1977 President Julius Nyerere Succeeded by Edward Sokoine 2nd Prime Minister of Tanganyika In office 22 January 1962 – 8 December 1962 Monarch Elizabeth II Preceded by Julius Nyerere Personal details Born 27 May 1926 Matepwende, Tanganyika Died 31 December 2009 (aged 83) Dar es Salaam Nationality Tanzanian Political party CCM Other political affiliations Tanganyika African National Union Children Vita Kawawa Religion Islam Nickname(s) Simba wa Vita (the Lion of War)

CHEKA UNENEPE WEWE SIO UNABOREKA TU!!!

Image
Five friends lived in a room and their names were MAD,BRAIN,FOOL,SOMEBODY AND NO BODY One day Somebody killed Nobody .At that time  Brain wa in the bathroom, Mad called police station to report the incident Mad: Is this police station? Police: Yes Mad: Somebody killed Nobody Police: What? are you mad? MAD; Yes i m Mad. Police: Do you have Brain at all? Mad: Brain is in the bathroom Police: You Fool (Kwa hasira) No fool is busy reading this SMS!

NDOTO ZANGU

Nionavyo mimi ndoto ni kama malengo ya mtu ambayo yanaweza kuwa yasiyofikika katika hali ya kawaida na kibinadamu zaidi. Mara nyingi mtu huota ndoto wakati ambao hajielewi ama usingizi mzito ama uchovu uliopitiliza. Inawezekana kuwa ni usingizi wenye mang'amung'amu na hisia nyingi za woga au furaha iliyozidi mpaka. Ni kawaida kabisa mtu kutamka kwamba katimiza ndoto zake, lakini ndani ya kauli hii nimegundua mapungufu mengi sana ambayo hayasemeki. Ni kwamba ndoto ambazo mtu hufurahia kuzitimiza ni zile nzuri tu na ambazo zina mafanikio kwake kwa mfano: 1. Kufanikiwa kimaisha- inawezekana kupanda daraja kazini au kuongezeka kwa kipato 2. Maendeleo mengine yoyote ikiambatana na kuongezeka kwa upeo, upendo na amani ndani ya mwanadamu! SWALI HAPA NI KWAMBA 1. Hakuna anayetimiza ndoto za ulevi? 2. Ndoto za kuachana katika mahusiano? 3. Ndoto za kubakwa? 4. Ndoto za kufungwa? Nahisi hakuna anyetimiza ndoto zake mbaya japokuwa huwa zinatimia ila utimizaji wa ndoto za aina h